Qur'ani Tukufu
IQNA – Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) mjini Karbala, Iraq, imetangaza ratiba kabambe kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Qur'ani mnamo 27 Rajab, 1446 (sawa na Januari 28, 2025).
Habari ID: 3480077 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/19
Shughuli za Qur'ani
IQNA – Kituo cha Dar-ul-Quran kinachohusishwa na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, kinapanga kuandaa matukio mbalimbali kwenye Siku ya Qur’an Tukufu Duniani.
Habari ID: 3479961 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27
Kadhia ya Palestina
IQNA--Kwa mwaka wa pili mfululizo Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Wananchi wa Palestina imeadhimishwa huku Gaza ikiendelea kuwa chini ya hujuma kubwa ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni sambamba na kuenezwa propaganda na taarifa ghushi za utawala huo
Habari ID: 3479829 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Qur'ani Tukufu kuwa ni kitabu cha nuru na uongozi na kuongeza kuwa yeye daima huanza siku yake kwa kusoma kurasa kadhaa za kitabu hicho kitakatifu.
Habari ID: 3444795 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/08