Tovuti ya Hurriyetdailynews imeripoti kuwa kwa mujibu wa sheria hiyo Banki ya Maendeleo ya Kiislamu IDB itatoa msaada ya kifedha kwa mashirika ya Uturuki ili yaweze kuwekeza kwa mujibu wa mbinu za Kiislamu.
Aidha kwa mujibu wa sheria hiyo kutaanzishwa mfumo wa ukaguzi na uratibu wa mashirika yatakayowekeza kwa mujibu wa mfumo wa kifedha wa Kiislamu.
753892