Kati ya mada zilizojadiliwa katika kitabu hicho chenye kurasa 200 ni, 'Lugha ya Qurani na Wanawake', 'tafauti za wanawake na wanaume' na 'ushirikiano wa wanaume na wanawake.
Mada zingine ni 'Wanawake wenye imani katika maisha ya kijamii', 'Qurani na Mwanamke', 'aya za Qurani kuhusu wanawake' , 'ndoa', 'jukumu la wanaume' na 'mwanamke kumtii mume wake'.
Aidha kitabu hicho kimejadilia maudhui ya 'Wanawake katika Harakati za Kiislamu'.
Mwandishi wa kitabu hiki ni afisa wa Jumuiya ya Uhuru wa Maoni na Haki za Kielimu nchini Uturuki.
775137