Kongamano hilo limeandaliwa na Chuo Kikuu cha An Naharin chini ya usimamizi wa Kamati ya Mwaka wa Kutetea Qur’ani. Kongamano hilo limedhuhuriwa na viongozi wa kidini, wabunge pamoja na washika dau katika sekta za habari na utamaduni.
Aidha wawakilishi wa ofisi ya Sayyid Muhammad Baqer Sadr walihudhuria kikao hicho.
Kufuatia hatua ya mhubiri Mkristo Mmarekani ya kuichoma moto Qur’ani Tukufu mwezi Machi, Bunge la Iraq limeutangaza mwaka huu kuwa ‘Mwaka wa Kuitetea Qur’ani Tukufu’
805941