IQNA

Qarii Parvizi wa Iran akisoma aya za Surah al Kahf + Video

12:52 - September 05, 2020
Habari ID: 3473138
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Iran Saeed Parvizi hivi karibuni alisoma aya za Sura al-Kahf za Qur’ani Tukufu.

Qarii Parvizi alisoma aya za 1-13 za Surah al-Kahf katika majlisi ya usiku wa tatu baada ya Siku ya Ashura, siku alimouawa shahidi Imam Hussein as.

Al Kahf ni sura ya 18 ya Qur’ani Tukufu na ina jumla ya aya 110.

 

Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* :