IQNA - Al-Rawda al-Sharifa ndani ya Al Masjid an Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina ndipo alipozikwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad Al Mustafa (SAW)
Imepokewa kuwa Mtume Muhammad (SAW) amesema kila mjumbe wa Mwenyezi Mungu anayeaga dunia huzikwa mahali pale alipofia. Kwa hiyo, Mtume Muhammad (SAW) alizikwa katika moja ya vyumba vya nyumbani kwake Madina ambako alifariki dunia.