IQNA - Al-Rawda al-Sharifa ndani ya Al Masjid an Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina ndipo alipozikwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad Al Mustafa (SAW)
Imepokewa kuwa Mtume Muhammad (SAW) amesema kila mjumbe wa Mwenyezi Mungu anayeaga dunia huzikwa mahali pale alipofia. Kwa hiyo, Mtume Muhammad (SAW) alizikwa katika moja ya vyumba vya nyumbani kwake Madina ambako alifariki dunia.
Habari ID: 3479379 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/03
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kutoka nchi za kigeni ambao wamefika mjini Makka kwa ajili ya Ibada ya Umrah wametembelea Msikiti wa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Al-Masjid an-Nabawi mjini Madina kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa.
Habari ID: 3473348 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10