IQNA

16:42 - November 10, 2020
News ID: 3473348
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kutoka nchi za kigeni ambao wamefika mjini Makka kwa ajili ya Ibada ya Umrah wametembelea Msikiti wa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Al-Masjid an-Nabawi mjini Madina kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa.

Kwa mujibu wa taarifa, Idara ya Masuala ya Al-Masjid an-Nabawi imesambaza picha za Waislamu kutoka nje ya Saudia ambao wamefika Madina na kuutembelea msikiti huo mtakatifu.

Wote wanaofika katika Al-Masjid an-Nabawi wanatakiwa kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.

Kwa mujibu wa sheria zilizowekwa Waislamu 160-170 wanaruhusiwa kutembelea Msikiti wa Mtume SAW. Kwa ujumla msikiti huo unatembelewa na Waumini wasiozidi 5,00 kwa siku. Kuanzia Novemba 1 mwaka huu raia wa kigeni waliruhusiwa kuingia Saudia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Umrah na kutembelea Al-Masjid an-Nabawi.

حال و هوای معنوی عمره گزاران خارجی در زیارت حرم پیامبر (ص) + عکس
 
3473082/

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: