Mtume Muhammad SAW amesema:أفضَلُ الإيمانِ أن تَعلَمَ أنَّ اللهَ مَعَک حَيثُ ما کنتَ Hali bora ya Imani ni kufahamu kuwa Mwenyezi Mungu yuko nawe kila mahala Kanz al-Ummal, 1/66