Sherehe za Kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Malaysia
IQNA - Ukumbi wa Kituo cha Biashara Cha Dunia huko Kuala Lumpur kilikuwa mwenyeji wa sherehe za kufunga Mashindano ya 64 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia Jumamosi usiku, Oktoba 12, 2024.