Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani 2024: Siku ya Sita katika Picha
IQNA - Siku ya sita ya Mashindano ya Kimataifa la Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Malaysia (MTHQA) yameendelea tarehe 10 Oktoba 2024, huku makumi ya washindani wakipanda jukwani.
Picha zimetayarishwa na Idara ya Ustawi wa Kiislamu Malaysia (JAKIM)