IQNA

Picha: Maelfu Waadhimisha Milad-un-Nabi jijini Tehran

IQNA – Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) na Imam Ja’far al-Sadiq (AS) yalifanyika mjini Tehran, Iran tarehe 10 Septemba 2025, katika hafla iliyopewa jina “Mtume Mwenye Huruma.” Tukio hilo lilifanyika kwa mwaka wa nne mfululizo, likianzia kutoka Medani ya Valiasr hadi Medani wa Haft-e Tir, na kuwajumuisha maelfu ya washiriki waliokuja kusherehekea kwa shangwe na heshima.
 
 
Kishikizo: milad un nabii ، tehran
Habari zinazohusiana