iqna

IQNA

Maulidi
IQNA – Waislamu nchini Ethiopia walisherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume (SAW) kwa sherehe za kidini kote nchini.
Habari ID: 3479448    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Maulidi
IQNA – Wasimamizi wa Haram ya Imam Ridha (AS) katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran wamepanga vikao kadhaa vya Qur'ani Tukufu, wakibainisha kuwa zinalenga kulinda urithi wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479447    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Maulidi
IQNA - Maelfu ya watu wa mji wa Kairouan nchini Tunisia walikusanyika Jumamosi jioni kwenye Msikiti wa kihistoria wa Uqba ibn Nafi kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), sherehe ambazo ni maarufu kama Milad un Nabii au Maulidi.
Habari ID: 3479446    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Maulidi
IQNA – Hafla maalumu ya kusoma Qur'ani ilifanyika mjini Al-Khalil katika Masjid Ibrahimi kwa mnasaba wa Milad-un-Nabi au Maulidi ambayo ni maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479444    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16

Umoja wa Kidini
IQNA - Mchungaji Mkristo nchini Misri amesambaza peremende au pipi za bure miongoni mwa watu katika hafla ya Milad-un-Nabi ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479438    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Profesa wa chuo kikuu kutoka Syria amesema kizazi cha vijana katika ulimwengu wa Kiislamu kinakabiliwa na mtanziko wa kiutamaduni na ili kukabiliana na suala hili, kuimarisha ushirikiano na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu ni muhimu.
Habari ID: 3477673    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Vikosi vya utawala katili wa Israel siku ya Jumatano viliwashambulia Wapalestina, wakiwemo wanawake na watoto, ambao walikuwa wakiadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) huko Al Quds (Jerusalem) Mashariki. Mji huo mtakatifu unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477664    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/28

Milad un Nabii
ALGIERS (IQNA) - Waziri Wakfu na Masuala Kidini wa Algeria katika kikao na wasimamizi wa wizara hiyo walijadili kufanya sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Maulidi au Milad un Nabii.
Habari ID: 3477658    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Milad-un-Nabii (Maulid ya Mtume Muhammad-SAW-)
BANGKOK (IQNA) - Waislamu katika Pattani, mji ulioko kusini mwa Thailand, walifanya "Matembezi ya Mahaba kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW)" siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477652    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa 11 unaoandaliwa kila mwaka kwa mnasaba wa Maulid ya Mtukufu Mtume (SAW) ulifanyika katika mji wa Adrar nchini Algeria.
Habari ID: 3475913    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji wa Uturuki wa Istanbul imeandaa sherehe za Milad-Un-Nabi za kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475897    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08

IQNA-Mabasi kadhaa nchini Uingereza yamepambwa kwa jina la Mtume Muhammad SAW na ujumbe wake wa Amani kwa munasaba wa kuwadia sherehe za Mawlid ya Mtukufu Huyo.
Habari ID: 3470722    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/07