TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ameituhumu Saudi Arabia kuwa inaliunga mkono kifedha Jeshi la Nigeria ili litekeleza mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3471484 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27
TEHRAN (IQNA)-Wanaharakati katika maeneo mbali mbali duniani Jumapili wameshiriki katika maandamano ya kutangaza kufungamana kwao na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anashikiliwa kinyume cha sheria nchini humo.
Habari ID: 3471467 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/16
TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa Akademia katika Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Jumanne wameandamana wakitaka serikali imiachilie kiongozi wao aliye kizuzizini Sheikh Ibrahim Zakzaky huku aachiliwe huru mara moja.
Habari ID: 3471461 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/11
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye kwa miaka miwili sasa anashikiliwa kinyume cha sheria, kwa mara ya kwanza jana alionekana hadharani alipohojiwa na waandishi habari.
Habari ID: 3471354 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/14
TEHRAN (IQNA)-Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametakiwa amuachilie huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anashikiwa kwa miaka miwili sasa bila kufunguliwa mashtaka baada ya wanajeshi kuvamia makao yake na kumjeruhi vibaya.
Habari ID: 3471256 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/10
TEHRAN (IQNA)- Mahakama katika mji wa Kaduna nchini Nigeria imetupilia mbali lalamiko lililowasilishwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu kuhusu hatua ya jeshi la nchi hiyo kukiuka haki za binadamu.
Habari ID: 3471056 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/08
TEHRAN (IQNA)-Polisi nchini Nigeria kwa mara nyingine tena wamtumia gesi ya kutoa machozi kuhujumu maandamano ya amani ya Waislamu katika mjimkuu Abuja.
Habari ID: 3470939 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/18
IQNA: Harakati ya Kiislamu Nigeria (INM) imetahadharisha kuwa kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky huenda akapoteza uwezo wa kuona na kuwa kipofu akiwa kizuizini.
Habari ID: 3470849 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/14
IQNA- Polisi nchini Nigeria wamewavurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamnaji waliokuwa wakimuunga kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuwekwa kizuizini kinyume cha sheria.
Habari ID: 3470815 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26
IQNA-Shirika la kutetea haki za binadmau la Amanesty International limeitaka serikali ya Nigeria kumuachulia huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470799 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/16
IQNA-Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameitaka serikali ya nchi hiyo kumuachilia huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470775 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
IQNA-Duru kutoka Nigeria zinadokeza kuwa Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amehamishiwa sehemu isiyojulikana nchini humo.
Habari ID: 3470735 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/11
IQNA-Serikali ya Nigeria imeiamuriwa na mahakama kumuachilia huru mara moja Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470709 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/02
Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeitaka serikali ya Nigeria kutoa maelezo kuhusu mauaji yaliyofanywa mwaka jana na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3470683 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/18
IQNA-Watu wanne wamejeruhiwa baada ya polisi nchini Nigeria kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana Ijumaa ya leo katika mji mkuu Abuja.
Habari ID: 3470651 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04
Katika muendelezo wa ukandamizaji wa Waislamu nchini Nigeria, Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470605 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08
Jopo la uchunguzi kuhusu mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu 348 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.
Habari ID: 3470492 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03
Mwanae mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, Jumamosi amelalamika kuwa, wazazi wake wanazorota kiafya korokoroni na serikali imewanyima huduma za kitiba.
Habari ID: 3470468 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/23
Bintiye Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amebainisha namna jeshi la Nigeria lilivyowaua Waislamu mwaka jana katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3470279 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/30