TEHRAN (IQNA)-Serikali ya China imefunga duka moja maarufu la vitabu vya Kiislamu na kumtia mbaroni mmiliki wa duka hilo kwa tuhuma za ugaidi.
Habari ID: 3471212 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/11
TEHRAN (IQNA)-Polisi katika mkoa wa Xinjiang kaskazini magharibi mwa China wameamuru familia za Waislamu kukabidhi madhihirisho ya kidini hasa nakala za Qur'ani na misala.
Habari ID: 3471197 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/28
Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470369 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Kundi moja la Waislamu wa China wameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa imeanzisha vita visivyo rasmi dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3322211 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01
Serikali ya China imepiga marufuku wanafunzi, walimu na watumishi wa umma katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu wengi kutekeleza ibada ya Saumu kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3315931 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19