china - Ukurasa 2

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Uingereza wameitaka serikali ya nchi yao ichukue hatua kali dhidi ya China kutokana na kukandamizwa Waislamu wa jamii ya Uighur.
Habari ID: 3473088   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20

TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji mkuu wa China, Beijing iliandaa Swala ya Idul Adha siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3473021   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Kiislamu la Haki za Binadamu (IHRC) lenye makao yake London amelaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu ukandamizaji wa jamii za Waislamu waliowachache nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3472989   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/22

TEHRAN (IQNA)- Wataalamu Wairani wamefanikiwa kuunda kifaa maalumu (test kit( cha kupima kirusi cha Corona. Kifaa hicho ni cha kwanza cha aina hiyo kuundwa nchini Iran.
Habari ID: 3472500   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/24

TEHRAN (IQNA) – Nakala ya kale zaidi ya Qur'ani Tukufu nchini China imewekwa katika maonyesho ya umma kwa mara ya kwanza katika mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472245   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA) – China imetoa taarifa na kupinga madai ya kimataifa kuwa imewaweka Waislamu wa mkoa wa Xinjiang katika kambi maalumu kwa lengo la kuwabadilisha itikadi zao.
Habari ID: 3472232   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/26

TEHRAN (IQNA) – Shirika moja la kutetea haki a binadamu limeitaka serikali ya China kuwaachilia huru watoto Waislamu wa jamii ya Uighur wanaoshikiliwa kinyume cha matakwa ya wazazi wao katika shule za bweni za serikali mkoani Xinjiang.
Habari ID: 3472132   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/16

TEHRAN (IQNA)- Msikiti umebomolewa katika mkoa wa Gansu, kaskazini-kati mwak China ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa ya kufuta turathi za Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3471922   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/20

TEHRAN (IQNA) - Picha za satalaiti zinaonyesha kuwa serikali ya China inabomoa misikiti muhimu ya eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang.
Habari ID: 3471908   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/10

TEHRAN (IQNA) –Serikali ya China inaendeleza ukandamizaji wake wa jamii ya Waislamu nchini humo na sasa inatumia kamera maalumu kwa lengo la kuwachunguza na kuwadhibiti Waislamu.
Habari ID: 3471848   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/21

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China umepitisha sheria mpya ya kuufanya Uislamu nchini humo uendane na itikadi ya 'Usosholisti wa Kichina' katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Habari ID: 3471799   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/07

TEHRAN (IQNA)-Wakuu wa utawala wa China wamefunga misikiti mitatu katika mji wa Weishan katika mkoa wa Yunnan kusini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471795   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/02

TEHRAN (IQNA) – Utawala wa China unaendelea kupuuza malalamiko ya dunia kuhusu kuendelea kuteswa Waislamu waliowachache nchini humo.
Habari ID: 3471740   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/13

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China unawatenganisha watoto Waislamu na wazazi wao ambao wanashikiliwa katika gereza au kambi maalumu za mafunzo ya Kikomunisti.
Habari ID: 3471682   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/21

TEHRAN (IQNA)- Wataalamu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa China kuwaachilia huru mara moja Waislamu wanaoshikiliwa katika kambi za kuwafunza Ukomunisti na kwa kisingizio cha kukabiliana na ugaidi.
Habari ID: 3471657   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/02

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Waislamu nchini China wamekusanyika katika msikiti mmoja kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika maandamano nadra ya kupinga mpango wa kuubomoa.
Habari ID: 3471625   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/11

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa utawala wa China wanawashikilia kwa nguvu Waislamu karibu milioni 1 katika kambi zenye msongamano mkubwa ambapo wanafunzwa kwa lazima itikadi za Kikomunisti.
Habari ID: 3471554   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/12

TEHRAN (IQNA)- Misitiki yote nchini China imetakiwa kupeperusha bendera ya taifa hilo katika maeeneo ya juu na muhimu ya msikiti, Jumuiya ya Kiislamu China imetangaza.
Habari ID: 3471527   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22

TEHRAN (IQNA)-Jamii ya Waislamu inazidi kuongezeka huko Hong Kongo, eneo lenye mamlaka ya kujitawala nchini China, na kwa msingi huyo kumeanzishwa jitihada za kujenga msikiti mpya ambao ujenzi wake umekwama kwa muongo moja sasa.
Habari ID: 3471466   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/15