iqna

IQNA

china
Waislamu China
IQNA - Msikiti Mkuu wa Taipei, mji mkuu wa eneo la Taiwan, ni msikiti mkongwe zaidi katika kisiwa hicho na pia mkubwa zaidi.
Habari ID: 3478264    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /35
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ilyas Wang Jingzhai (180-1949) ndiye mtu wa kwanza aliyetafsiri Qur'ani Tukufu nzima katika lugha ya Ki china .
Habari ID: 3477951    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Waislamu China
JEDDAH (IQNA) – Ujumbe wa wawakilishi 25 kutoka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) uliwasili China Alhamisi kujadili uhusiano wa pande mbili na hadhi ya jamii ya Waislamu nchini humo, OIC ilisema katika taarifa yake.
Habari ID: 3477454    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Hija 1444
MAKKA (IQNA) - Mahujaji wa China wamepongezwa sana kwa hatua yao ya kusafisha barabara na vijia katika mji mtakatifu wa Makka (Mecca) kabla ya kurejea katika nchi yao baada ya kukamilisha ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3477288    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/15

Historia na Turathi
TEHRAN (IQNA)- Ujenzi wa Mnara wa ukumbusho wa admeri maarufu Muislamu wa karne ya 15 miladia, Zheng He, ulizinduliwa Alhamisi katika mkoa wa Dhofar nchini Oman.
Habari ID: 3477091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03

Umoja wa Nchi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wamepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.
Habari ID: 3476718    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/17

Rais wa Iran katika Chuo Kikuu cha Peking
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.
Habari ID: 3476568    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/15

Turathi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna msikiti kaskazini-magharibi mwa U china ambao una nakala ya kale zaidi ya Qur'ani katika nchi hiyo ya Asia Mashariki.
Habari ID: 3475650    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20

Waislamu China
TEHRAN (IQNA)- Rais Xi Jinping wa China amewataka viongozi kuongeza juhudi kuhakikisha kwamba Uislamu nchini China unaendana na kaununi za dini nchini humo na sera za kisoshalisti zinazofuatiliwa na Chama tawala cha Kikomunisti cha China.
Habari ID: 3475512    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17

TEHRAN (IQNA)- Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyofasiriwa kwa lugha ya Ki china inahifadhiwa katika Kituo cha Bait-ul-Qur'an nchini Bahrain.
Habari ID: 3475229    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaandaa ramani ya njia ya ushirkiano na nchi zingine kwa kuzingatia maslahi yake ya taifa.
Habari ID: 3474832    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Kimarekani la Apple ya limeondoa aplikesheni ya Quran Majeed katika simu zake zinazouzwa nchini China jambo ambalo limeibua maswali mengi juu ya malengo na sababu kitendo hicho.
Habari ID: 3474435    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/17

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa jamii ya Wauyghur Waturuki wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada wamenunua jengo la kale ambalo lilikuwa Kanisa na kuligeuza kuwa Msikiti.
Habari ID: 3474344    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Louvre Abu Dhabi nchini UAE limetangaza kuandaa maonyesho ya ‘Uhusiano wa Kiutamaduni wa China na Ulimwengu wa Kiislamu’ ambayo yataanza Oktoba 6 2021 na kuendelea hadi Februari 12 2022.
Habari ID: 3474288    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12

Spika ya Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema kutiwa saini mapatano ya ushirkiano wa Iran na China ni onyo muhimu kwa Marekani na kuongeza kuwa, matukio ya kimataifa yanachukua mkondo wa kasi ambao ni kwa hasara ya Marekani.
Habari ID: 3473781    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/04

TEHRAN (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko China jana Jumanne aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ametembelea mkoa wenye Waislamu wengi nchini humo ambao wakaazi wake wengi Waislamu wa jamii wa Uighur.
Habari ID: 3473773    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Wauyghur katika mahojiano na IQNA
TEHRAN (IQNA) - Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kimataifa ya Jamii ya Uyghur Dolkun Isa anasema serikali ya China inaendeleza kampeni dhidi ya Waislamu wa jamii ya Uyghur kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3473671    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/21

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Uingereza wameitaka serikali ya nchi yao ichukue hatua kali dhidi ya China kutokana na kukandamizwa Waislamu wa jamii ya Uighur.
Habari ID: 3473088    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20

TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji mkuu wa China, Beijing iliandaa Swala ya Idul Adha siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3473021    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01