Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema aada ya miaka minane ya vita kamili vya kijeshi na kiuchumi vilivyomalizika kwa ushindi wa Iran ya Kiislamu, maadui wanatumia mbinu mpya ya kuanzisha vita, uvamizi na hujuma ya kiutamaduni dhidi ya Iran.
Habari ID: 3476616 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24