Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haijawahi kuwa tishio kwa usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na nchi majirani zake na katika siku za usoni pia haitokuwa hivyo, lakini wakati huo huo itaendelea kusimama kidete kukabiliana vilivyo na uchokozi wa aina yoyote ile dhidi yake.
Habari ID: 3180160 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/20