IQNA – Maqari mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran wanatarajiwa kuzuru Tanzania kushiriki katika kongamano kubwa la kimataifa la Qur'ani litakalofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3480676 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya "Wa Rattil," yaliyoandaliwa na Thaqalayn TV, limehitimishwa mwishoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, likiwashirikisha washiriki kutoka mataifa mbalimbali wakiwania nafasi za juu.
Habari ID: 3480485 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02
IQNA – Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imezindua toleo la pili la mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa Tarteel kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480327 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08
Madrassah ya kufundishia Qur’an yenye umri wa zaidi ya karne nchini Uganda, itazamiwa kukarabatiwa upya hivi karibuni ili kuendelea kutumika kwa ajili ya kutoa mafunzo sahihi ya dini ya Kiislamu.
Habari ID: 3353009 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/26
Waislamu nchini Uganda wamezindua televisheni ya kwanza kabisa ya Kiislamu nchini humo na hivyo kuhuisha matumaini ya mwamko mpya baada ya sauti ya Waislamu kukandamizwa kwa muda mrefu na vyombo vya habari nchini humo.
Habari ID: 3351062 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24