IQNA – Mawkib ya kiutamaduni, yaani kituo cha huduma, iliyoanzishwa na Astan, taasisi inayosimamia Haram tukufu ya Hadhrat Abbas (AS), kwenye njia ya kutoka Najaf hadi Karbala, imepokelewa kwa furaha na mazuwar wa Arbaeen.
Habari ID: 3482574 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/02
IQNA – Zaidi ya Mawakib (vituo vya kutoa huduma bila malipo) 13,500 kutoka mikoa mbalimbali ya Iraq, pamoja na kutoka mataifa ya Kiarabu, Kiislamu na nchi nyingine za kigeni, zimesajiliwa kushiriki katika maonyesho na matembezi ya Arbaeen ya mwaka huu.
Habari ID: 3482534 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/25