iqna

IQNA

uchumi
Uchumi Halal
ISTANBUL (IQNA) - Mamia ya makampuni na mashirika yanayoongoza kutoka nchi 40 yanashiriki katika Mkutano wa Halal wa Dunia na Maonyesho ya Halal ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), ambayo yalifunguliwa Alhamisi huko Istanbul, ili kuonyesha bidhaa na huduma zao katika soko la halal la kimataifa, lenye thamani ya zaidi ya dola trilioni 7.
Habari ID: 3477940    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Ulimwengu wa Kiislamu na Uchumi
TEHRAN (IQNA) – Nchi za Kiislamu, ambazo zinategemea mfumo wa ki uchumi wa nchi za Magharibi zimetakiwa kupanua biashara kati yao wenyewe.
Habari ID: 3476006    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29

Qur'ani inasema Nini / 4
TEHRAN (IQNA) - Vitabu vitakatifu katika dini mbali mbali mara nyingi huzingatiwa kama chanzo cha kuimarisha hali ya kiroho ya mtu na hii inaeleweka kama fikra ya mwongozo lakini Quran Tukufu ina misingi ya kipekee kuhusiana na nukta hii.
Habari ID: 3475320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31

Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendesha nchi hii bila ya kutegemea sana pato la mauzo ya mafuta ni kielelezo cha nguvu kubwa ya Iran katika medani ya vita vya ki uchumi .
Habari ID: 3472961    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/14

TEHRAN (IQNA)-Mji mkuu wa Kenya, Nairobi leo ni mwenyeji wa mkutano wa siku mbili ambao unachunguza namna nchi hiyo inaweza kunufaika na uchumi wa Kiislamu au uchumi Halal ambao unashika kasi duniani.
Habari ID: 3470929    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/10

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema lengo la adui ni kuliwekea mashinikizo ya ki uchumi taifa la Iran na kwamba maadui wanataka kuwafanya wananchi wakate tamaa na kukosa imani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470903    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/21

Ujumbe wa Nairuzi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa wananchi wa Iran kwa mnasaba wa kuingia mwaka mpya wa 1393 Hijria Shamsia na kuuita mwaka huo kwa jina la mwaka wa "Uchumi na Utamaduni wenye Azma ya Kitaifa na Uongozi wa Kijihadi."
Habari ID: 1389135    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/21