iqna

IQNA

adui
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya wiki hii mjini Tehran amesisitiza kuwa: adui amefanya makosa katika hesabu zake huku taifa la Iran likichagua mantikiya Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3476717    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/17

Qur’ani Tukufu Inasemaje/9
TEHRAN (IQNA) – Baada ya Mwenyezi Mungu kumuumba mwanadamu, kuna Yule mwenye kiburi aliyeaanza u adui dhidi yake.
Habari ID: 3475946    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17

Njama za Adui
TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafsi na kisaikolojia.
Habari ID: 3475661    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22

Qur'an Inasemaje /11
TEHRAN (IQNA)-Tunamjua Mwenyezi Mungu kuwa ni Mwingi wa Rehema na Mwenye kurehemu. Kwa hiyo Mungu hatatuacha peke yetu mbele ya adui yetu mkuu, yaani Shetani.
Habari ID: 3475417    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, mpango wa adui ni kudhoofisha imani na matumaini na kutaka ionekane kwamba viongozi wamefika kwenye mkwamo na hawajui namna ya kuendesha nchi.
Habari ID: 3475407    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa vita vya vyombo vya habari vya ma adui vimevizidi nguvu na kasi vita vya kiuchumi na kwamba hata ma adui wa mapinduzi wananufaika na vita hivyo vya vyombo vya habari katika vita vyao vya kiuchumi dhidi ya mataifa mengine.
Habari ID: 3474416    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/12

Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC), amesisitiza kwamba ma adui wamefikia mwisho wa njia na kwamba licha ya haiba yao ya kidhahiri lakini mifupa yao imeoza kwa ndani.
Habari ID: 3471961    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Sawa na miaka ya nyuma, kwa kutegemea hima, jitihada, ubunifu na vipawa vyake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea na mkondo wake wa 'nguvu ya kuzuia hujuma'.
Habari ID: 3470975    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hakuna shaka yoyote kuhusu u adui wa madola ya kibeberu hususan Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba u adui huo umekuwa ukioneshwa muda wote kwa sura tofauti.
Habari ID: 3470940    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema lengo la adui ni kuliwekea mashinikizo ya kiuchumi taifa la Iran na kwamba ma adui wanataka kuwafanya wananchi wakate tamaa na kukosa imani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470903    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuhimiza kumbukumbu ya mashahidi ni moja ya nukta muhimu katika kukabiliana na njama za adui na kulinda mapambano katika jamii.
Habari ID: 3470593    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njia pekee ya kuufanya Mfumo wa Kiislamu udumu na kupiga hatua mbele na kufikiwa malengo ya Mapinduzi ni 'nchi kuwa na uwezo halisi' na kutekelezwa 'jihadi kubwa', yaani kutomtii adui .
Habari ID: 3470340    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/27

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mfumo wa kibeberu uliosimama juu ya msingi wa kutumia mabavu ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kijeshi.
Habari ID: 3470221    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/31

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Marekani inasaka fursa ya kupenya na kulazimisha matakwa yake kwa taifa la Iran.
Habari ID: 3383038    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa vikosi vya jeshi la Iran vinapaswa kuzidisha kasi ya maendeleo na kuzidisha utayarifu wake kwa kadiri kwamba, adui asithubutu hata kuwa na fikra ya kuihujumu Iran.
Habari ID: 3377230    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa ma adui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanafanya mikakati ya kubadili itikadi za jamii na kupenya katika vituo vya kutayarisha na kuchukua maamuzi hapa nchini.
Habari ID: 3364408    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/17

Shekhe Mkuu wa Al Azhar Sheikh Ahmed el-Tayeb amesisitiza kuhusu umuhimu wa kudumisha umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3351450    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haijawahi kuwa tishio kwa usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na nchi majirani zake na katika siku za usoni pia haitokuwa hivyo, lakini wakati huo huo itaendelea kusimama kidete kukabiliana vilivyo na uchokozi wa aina yoyote ile dhidi yake.
Habari ID: 3180160    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: “Taifa la Iran daima limeonesha kuwa lina irada imara na lina uwezo na kuvunja njama za adui .”
Habari ID: 2869495    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/19

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametahadharisha kuhusu njama za adui zenye lengo za kuudhihirisha Uislamu kuwa ni tishio.
Habari ID: 1474768    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/18