iqna

IQNA

sayansi
Elimu ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Libya imeandaa kongamano la kimataifa la siku tatu kuhusu sayansi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478020    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/13
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mustafa Muslim (1940-2021) alikuwa mtu mashuhuri katika uwanja wa sayansi za Qur’ani ambaye aliandika vitabu 90, ikiwa ni pamoja na ensaiklopidia za sayansi za Qur’ani.
Habari ID: 3476346    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Uislamu na Elimu
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) – Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni Duniani (ISESCO) linapanga kuanzisha mfuko kwa ajili ya kusaidia wasomi na watu mahiri katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476288    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22

Shakhsia Katika Qur'ani / 8
TEHRAN (IQNA) – Nabii Idris (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ndiye aliyekuwa wa kwanza kuandika kwa kalamu, kwa mujibu wa riwaya. Ametajwa kuwa ni msomi mwanafikra, na mwalimu na anajulikana kuwa mwanzilishi wa sayansi nyingi kutokana na elimu aliyoipata kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476000    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28

Iran na Ustawi
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, maendeleo ya miaka 40 ya nchi yanadhihirisha usahihi wa uchambuzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dunia mkabala wa uchambuzi wa watu wenye fikra na mielekeo ya Kimagharibi.
Habari ID: 3475956    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/20

Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Mustafa(SAW) ya Sayansi na Teknolojia hivi karibuni iliandaa jopo la ki sayansi kwa ushirikiano na Jukwaa la Kimataifa la Wanawake katika Sayansi ili kujadili mustakabali endelevu unaojumuisha jinsia kupitia sayansi , teknolojia na uvumbuzi.
Habari ID: 3475793    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

TEHRAN (IQNA) –Ensaiklopedia ya miujiza ya sayansi katika Qur'ani Tukufu imechapishwa hivi karibuni nchini Algeria.
Habari ID: 3473445    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/11

TEHRAN (IQNA) – Awamu ya Tatu ya Zawadi ya Mustafa SAW 2019 imetangazwa Jumatatu katika mji mkuu wa Iran, Tehran, ambapo wana sayansi watatu wa Iran na wawili kutoka Uturuki wametangazwa washindi.
Habari ID: 3472211    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/12

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa la miujiza ya Qur'ani Tukufu limefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Iraq, Baghadad.
Habari ID: 3471845    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, harakati ya elimu katika Ulimwengu wa Kiislamu inapaswa kuwa na kasi kubwa na kwa mara nyingine tena Umma wa Kiislamu ufikie kilele cha nguvu za kielimu na kiustaarabu ili maadui wa Uislamu wakiwemo Wamarekani washindwe kutoa amri kwa marais wa nchi za Kiislamu kwa kuwaambia fanyeni hili na msifanye lile.
Habari ID: 3471509    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/12

Zawadi ya Mustafa SAW
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha Zawadi ya Kimataifa ya Mustafa (SAW) ambapo imewatunuku zawadi wana sayansi bora zaidi Waislamu duniani katika hafla iliyofanyika Tehran.
Habari ID: 3469674    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26

Ujenzi wa Chuo cha Sayansi za Qur’ani cha Al Hussary umezinduliwa katika mkoa wa Minya nchini Misri.
Habari ID: 3409344    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29

Mwanafalaki (mwanaastronomia) mashuhuri wa Iran amesema kuwa kuna aya 750 katika Qur’ani Tukufu kuhusu sayansi asilia na sayansi jarabati kwa lengo la kuwakumbusha watu masuala kuhusu maudhui kama vile maumbile ya mbingu na ardhi, milima, mimea n.k.
Habari ID: 3340977    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/10