Mwandishi wa IQNA ameripoti kuwa mkutano huo ni wa kihistoria kwa shabaha ya kueneza amani na mazungumzo kati ya dini nchini Ufilipino.
Gazeti la Gmanews la Ufilipino limeripoti kuwa moja ya ajenda za mkutano huo ni kutembelea maeneo ya kihistoria ya Ufilipino hususan sehemu ambako wahubiri wa kwanza wa Kiislamu walipofikia katika karne ya 13.
Ni vyema kukumbusha hapa kuwa asilimia tano ya jamii ya watu milioni 90 ya Ufilipino ni Waislamu 322267