Tovuti ya habari ya Mashia wa Australia yazinduliwa rasmi
9:46 - May 03, 2009
Kiungo kimenakiliwa
Habari ID: 1773024
Tovuti ya kwanza ya habari ya Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Australia imezinduliwa rasmi.
Tovuti hiyo inatoa habari na kuzungumzia maudhui mbalimbali za kijamii na kisiasa za Waislamu wa Kishia.
Kwa habari zaidi kuhusu maudhui za kituo hicho unaweza kutumia anwani ifuatayo: www.shia.com.au 397957