IQNA

Maonyesho ya vitabu vya Kiarabu katika mji wa Qum , Iran

11:19 - May 13, 2009
Habari ID: 1777626
Maonyesho ya vitabu vya kisasa vya kiarabu yameanza Jumamosi tarehe 9 Mei katika mji wa Qum nchini Iran.
Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA mjini Qum, maonyesho hayo yatakayoendelea hadi Alhamisi tarehe 14 yanafanika katika Chuo cha Imam Khomeini (SA).
Maonyesho hayo yanafanyika kwa udhamini wa Kituo cha Utafiti wa Kimataifa cha al Mostafa na hufunguliwa saa tatu asubuhi hadi saa saba adhuhuri na awamu ya pili kuanzia saa kumi jioni had saa mbili usiku.
Katika maonyesho hayo kuna vitabu kuhusu masuala ya kidini na masomo yasiyo ya kisayansi kwa lugha ya Kiarabu. 404120
captcha