Taasisi hiyo imesema juzuu tano za tafsiri ya Imam musa Sadr zina anwani ya 'Fikra nyingine katika Qur'ani na Tafsiri', 'Tafsiri ya Sura al Qadr', 'Tafsiri ya Sura Ikhlas', 'Tafsiri ya Suran An Nas na Falaq' na 'Tafsiri ya Sura Takathur'.
Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, taasisi hiyo imeshiriki katika maonyesho ya kimataifa ya Qurani ya Tehran kwa mara ya kwanza mwaka huu. 631327