Kwa kuzingatia mafundisho ya Qur'ani yanayohimiza juu ya kufungamana na kamba ya Mwenyezi Mungu, mazingira ya kimaanawi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja wa Waislamu kote duniani hasa kati ya viongozi wa mfumo wa Kiislamu wa Iran.