Mohammad Muntazari mhariri mkuu wa kipindi cha "Kijani anayefuata Qurani" katika Redio ya Qurani amemwambia mwandishi wa IQNA kuwa chombo hicho cha habari kinatengeneza vipindi mbali mbali kwa lengo la kueneza mafundisho ya Qurani.
Amesema watayarishjai wa vipindi katika redio hiyo wenyewe ni wataalamu wa masuala ya Qurani jambo ambalo limepelkea vipindi vya viwango vya juu kutengenezwa. 646396