Kongamano hilo linasimamiwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC na litahudhuriwa na mawaziri na wawakilishi wa nchi za Kiislamu na pia wawakilishi wa jumuiya 30 za Kimataifa.
Kongamano hilo litajadili masuala ya mazingira katika nchi za Kiislamu.
Kongamano la tatu la mawaziri wa mazingira wa nchi za Kiislamu lilifanyika mwaka 2008 katika mji mkuu wa Morocco Rabat. 665483