Kwa mujibu wa gazeti la Ar Riyadh kongamano hilo litafanyika Machi 6-9 mwaka 2011 katika Chuo Kikuu cha Malik Saud mjini Riyadh Saudi Arabia.
Kongamano hilo linafanyika kwa himaya ya Kitivo cha Sayansi na Kompyuta katika Chuo Kikuu cha Malik Saud na lengo lake limetajwa kuwa ni kuchunguza masuala yanayohusu mada za kielektroniki za Kiislamu na Kirabu.
Maudhui zingine zitakazojadiliwa ni pamoja na maktaba ya dijitali ya Kiislamu na Kiarabu, Qur'ani na Hadithi katika intaneti.
709310