Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za Kituo cha Kiarabu cha Mipango Mbadala ACAP, uharibiwaji wa maneo ya Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel uliongezeka kwa asilimia 38 mwaka uliopita wa 2010 licha ya kuwepo upinzani mkubwa wa jamii ya kimataifa dhidi ya jambo hilo.