Tovuti ya Muslim Villae imeripoti kuwa masomo hayo yataanza tarehe 12 Februari. Mpango huo ni sehemu ya masomo yanayotolewa na akademia hiyo kwa shabaha ya kutoa mafunzo ya tajwidi na mbinu za kiraa ya Qur'ani Tukufu.
Masomo hayo yanafundisha mbinu za kisasa za kiraa ya Qur'ani Tukufu na watakaofaulu watapewa shahada za kiraa na tajwidi ya Qur'ani. 740714