Chini ya anuani, "Mfumo wa Fedha wa Kiislamu na Maslahi ya Umma" wataalamu wa benki, wasomi wa vyuo vikuu, wanazuoni wa sheria za Kiislamu na wakaguzi wa benki kutoka maeneo mbalimbali duniani walijadili mada tatu kuu.
Mada hizo ni pamoja na "Sheria za Kiislamu, Fedha na Maslahi ya Umma", 'Sheria za Kiislamu, Kanuni na Utelekezwaji wa Mikataba' na "Kuandaa Muundo Bora wa Kiidara kwa ajili ya Mfumo wa Kiislamu na Kimaadili wa Fedha'.
Nchi nyingi duniani zinaendelea kukumbatia mfumo wa fedha wa Kiislamu ambao unazingatia maadili pasina kutoza riba.
763673