Miloš Zeman hivi karibuni aliandika makala katika kituo cha mtandano wa intaneti cha Prvnizrpavy.com akidai kuwa "Uislamu ni dini inayoeneza chuki". Matamshi hayo yamekabiliwa na malalamiko makali ya jumuiya na taasisi za Kiislamu cha Czech.
Zeman amesema katika makala hiyo kwamba: "Vita vya karne ya 21 ni vita kati ya ustaarabu wa Marekani kama dini ya upendo, na ustaarabu wa Kiislamu ambayo ni dini ya chuki, na hapana budi kuchagua moja kati ya staarabu hizo mbili!".
Wawakilishi wa jumuiya za Kiislamu za Czech wametayarisha mashtaka dhidi ya mwanasiasa huyo wakimtuhumu kwa kufanya uchochezi dhidi ya Uislamu na Wislamu.
822402