Wanaume waliolawitiwa na makasisi wa kanisa Katoliki nchini Uholanzi wameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ianzishe uchunguzi dhidi ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Benedict wa 16 pamoja na maafisa wengine 3 wa ngazi za juu wa Vatican.