IQNA

Maandamano ya kupinga kukamatwa wanaharakati wa kidini Azerbaijan

19:10 - May 23, 2012
Habari ID: 2332786
Mamia ya wananchi wa Azerbaijan wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Baku kwa lengo la kupinga, ukandamizaji wa kisiasa na pia kutiwa nguvuni wanaharakati wa kidini na kisiasa nchini humo.
Idadi kadhaa ya waandamanai wamepigwa na kutiwa nguvuni na polisi ya nchi hiyo iliyojaribu kuvunja maandamano hayo. Maaandamano hayo yamefanyika katika hali ambayo nyimbo za Eurovision zilikuwa zimepamgwa kufanyika hivi karibuni katika jumba la Crystal Hall mjini Baku.
1014897
captcha