IQNA

Ar-Rahma, mmoja kati ya misikiti inayotembelewa zaidi Jeddah

18:39 - September 28, 2020
Habari ID: 3473209
Msikiti wa Ar-Rahma, ambao pia unajulikana kama Msikiti wa Fatima Zahra (SA) ulijengwa mwaka 1985 katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia.

Msikiti huu ni kati ya misikiti yenye mvuto Jeddah na aghalabu ya wanaoswali hapo ni Waislamu kutoka mashariki mwa Asia.

Msikiti huo una ukubwa wa mita mraba 2,400 na hutumbelewa sana na wanoafika Saudia kwa ajili ya Ibada za Hija na Umrah. Usanifu majengo wake ni mchanganyiko wa mbinu za kale na za kisasa.

 

 
 
Kishikizo: msikiti ، rahma ، jeddah ، fatima zahra as
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* :