jeddah

IQNA

IQNA – Nyumba ya Sanaa za Kiislamu jijini Jeddah, ambayo ni makumbusho ya kwanza nchini Saudi Arabia kujikita kikamilifu katika sanaa ya Kiislamu, huhifadhi zaidi ya vitu adimu 1,000 vya kihistoria vinavyosambaa katika kipindi cha karne 15 kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu wa Kiislamu — kuanzia China na India hadi Maghreb na Andalusia.
Habari ID: 3482535   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/25

IQNA – Hafla maalumu ilifanyika mjini Jeddah siku ya Jumapili kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3482226   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/11

Maonyesho mapya yenye jina la Safari Kupitia Maeneo Matukufu yamefunguliwa huko mjini Jeddah, Saudi Arabia. Maonyesho hayo yanaonyesha mkusanyo wa vipande vya kihistoria na vya kisanii vinavyohusiana na Hija, hija ya kila mwaka ya Waislamu kwenda Makka.
Habari ID: 3477139   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/13

TEHRAN (IQNA) - Warsha ilifanyika hivi karibuni huko Jeddah, Saudia kuhusu uwekaji wa huduma za kidigitali katika mashirika ya ustawishaji uwekezaji katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).
Habari ID: 3476321   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Hija na Umrah
TEHRAN (IQNA) - Saudi Arabia inatazamiwa kuandaa hafla iliyopewa jina la "Maonyesho ya Hija" mnamo Januari mwaka ujao huko Jeddah.
Habari ID: 3476221   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09

Ufaransa yaonaya raia wake baada ya hujuma dhidi ya makaburi Jeddah, Saudia
Habari ID: 3473352   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/12

Msikiti wa Ar-Rahma, ambao pia unajulikana kama Msikiti wa Fatima Zahra (SA) ulijengwa mwaka 1985 katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3473209   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNA)-Mzee mwenye umri wa miaka 65 mjini Jeddah, Saudi Arabia, amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa muda wa miezi 10.
Habari ID: 3471246   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/03

Abdullah Abdul Quddus ambaye amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ametajwa kuwa hafidh mwenye umri wa chini zaidi mjini Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3457024   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25