IQNA

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Taha la Fashni alikuwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu na alikuwa pia ni mfuasi wa qiraa ya Sheikh Mustafa Ismail.

Kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia, hapa tutasikiliza qiraa yake ya aya za 40 na 41 za Surah Ibrahim.

کد ویدیو
Kishikizo: qiraa ، qurani tukufu ، misri ، fashni