IQNA

Qiraa ya Qur'ani Tukufu ya Ustadh Sadiq Al-Manshawi kwenye khitma ya mwanae Ustadh Abdul Basit

14:52 - January 18, 2023
Habari ID: 3476421
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Sadiq Mahmoud Sediq Al-Manshawi, mtoto wa Ustadh Mahmoud Sadiq Al-Manshawi, marehemu msomaji maarufu wa Qur'ani wa Misri, alisoma aya za Qur'ani Tukufu katika khitma ya mwanae Marhum Ustadh Abdul Basit Abdulswamad nchini Misri.

Sheikh Sadiq Mahmoud Sediq Al-Manshawi, mtoto wa Ustadh Mahmoud Sadiq Al-Manshawi, marehemu msomaji maarufu wa Qur'ani wa Misri, alisoma aya za Qur'ani Tukufu katika khitma ya mwanae Marhum Ustadh Abdul Basit Abdulswamad nchini Misri.

"Sadiq Mahmoud Sediq Menshawi"  alipata mafunzo ya kusoma Qur'ani Tukufu kutoka kwa baba yake na hivyo anaendeleza fani ya qiraa katika familia. .

Katika klipu hii anasema a aya ya 23 ya Surah Ibrahim ambayo tarjuma yake ni kama ifuatavyo:

"Na walio amini na wakatenda mema wataingizwa katika Mabustani yapitayo mito kati yake, wadumu humo kwa idhini ya Mola wao Mlezi. Maamkio yao humo yatakuwa: Salaam."

 

 

فیلم | تلاوت «صدیق المنشاوی» در مراسم یادبود پسر عبدالباسط

captcha