IQNA

Qari Hamed Shakernejad wa Iran Akisoma Aya ya 33 katika Surah ya Al-Isra

17:55 - July 19, 2024
Habari ID: 3479149
IQNA - Hamed Shakernejad ni Qari wa Iran ambaye anajulikana kimataifa kwa usomaji wake mzuri wa Qur'ani Tukufu.

Qari  Hamed Shakernejad wa Iran Akisoma Aya ya 33 katika Surah  ya  Al-Isra

Hivi karibuni alisoma Aya ya 33 katika Surah ya Al-Isra katika sherehe katika kituo cha kidini cha Maktab al-Zahra, Inasema hivi;

“Usiue nafsi yenye heshima bila sababu ya haki, Iwapo mtu yeyote atauawa bila ya haki, tumewapa warithi wa mtu huyo haki ya kudai kuridhika au kusamehe, Asizidi sheria kwa kulipiza kisasi; muathirika wake pia atasaidiwa na sharia.

 

 

 

 

 

 
 

3489173

 

captcha