Katika kipindi cha miaka 23, Mtume Muhammad SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 1459700 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12
Pendekezo la kutaka kufukuliwa kaburi la Mtukufu Mtume Muhammad (saw) lililoko Masjid al-Nabawi mjini Madina na kuhamishwa mabaki ya mwili wa mtukufu huyo kwenda kuzikwa katika makaburi ya Baqii, Saudia, limekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa maulama wa Chuo Kikuu cha al-Azhar nchini Misri
Habari ID: 1446838 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/06
Ayatullah Muhsin Araki, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzikurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, miongoni mwa malengo muhimu ya risala ya Kiislamu na jukumu la Bwana Mtume SAW lilikuwa ni kuleta umoja baina ya watu
Habari ID: 1441626 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/21
Tarehe 27 Rajab Mwaka wa Tembo na akiwa na umri wa miaka 40, Mtume Muhammad (SAW) alikuwa juu ya kilele cha Mlima Hira, akijishughulisha na ibada ndani ya pango la mlima huo, ambapo ghafla malaika Jibril AS alimteremkia huku akiwa amebeba wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu SW.
Habari ID: 1411465 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/27