TEHRAN (IQNA)- Katika kulalamikia matamshi yaliyotolewa siku ya Ijumaa na  George Kurdahi  , Waziri wa Habari wa Lebanon aliyekosoa uvamizi wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen na kuutaja kuwa usio na maana, Saudia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut na kumtaka balozi wa Lebanon pia aondoke nchini humo mara moja.
                Habari ID: 3474498               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/11/01