IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kimaasai ipo mbioni kukamilika. Mradi huu mkubwa unaoendeshwa na Taasisi ya Mohammed Bakari ya Kenya unalenga kuimarisha ujumbe wa Uislamu miongoni mwa jamii zinazozungumza lugha ya Maa.
Habari ID: 3481637 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/09
TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kalenjin nchini Kenya inakadiriwa kuwa na wazungumzaji milioni 6.3 na sasa jamii hiyo kubwa kwa mara ya kwanza imepata Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha yao.
Habari ID: 3474557 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14