maonyesho - Ukurasa 2

IQNA

Maonyesho ya Sanaa za Kiislamu yenye anuani ya 'Mbegu ya Amani' yanafanyia Lagos nchini Nigeria katika Jumba la Makumbusho ya Kitaifa.
Habari ID: 3357526   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02

Awamu ya 23 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran yanamalizika Jumanne hii.
Habari ID: 3327645   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13

Qatar imeandaa maonyesho kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu na mafanikio ya wanasayansi Waislamu katika historia.
Habari ID: 3318504   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25

Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yatafunguliwa katika siku za awali za mtukufu wa Ramadhani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Habari ID: 3315145   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16

Maonyesho ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu yalianza jana katika makao makuu ya Jumuiya ya Kiislamu ya Jamhuri ya Congo kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426538   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06