Qur'ani na Teknolojia
TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni au Apu ya Qur’ani Tukufu yai "habloliman" imezinduliwa nchini Iran hivi karibuni ambapo humpa mtumiaji uwepo wa kusoma na kusikililiza Qur’ani Tukufu pamoja kozi 48 za mafunzo ya usomaji sahihi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3475894 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07