iqna

IQNA

Kanuni za Imani ya Kiislamu; Ufufuo /1
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya maswali ni ya ulimwengu wote na yapo katika akili ya kila mwanadamu. Mmoja kati ya maswali hayo ni kuhusu hatima yetu. Nini matokeo ya maisha na nini itakuwa hatima yetu? Hili limezungumziwa ndani ya Qur'ani katika fremu ya itikadi ya Ma’ad (Ufufuo).
Habari ID: 3476098    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16