IQNA – Kundi moja la kutetea haki za binadamu nchini Marekani limelaani shambulio la kikatili lililotokea hivi karibuni dhidi ya kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Habari ID: 3481017 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/30
Waislamu Afrika
TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya Waislamu waliyoyakimbia makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ghasia na machafuko, wanataabika na kuteseka katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476791 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31
Jinai za Daesh
TEHRAN (IQNA) - Kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS) lilidai kuhusika na shambulio la bomu katika kanisa moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) siku ya Jumapili.
Habari ID: 3476413 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/16